Posts

Raha ya Kufanya Mapenzi Sehemu Hatarishi zisizo Sahihi..

Image
Wimbi la Watu Kufanya Mapenzi kwenye Magari hapa Mjini mchana kweupe limeongezeka kwa kasi...Hapa namaanisha kufanya mapenzi katika maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi, Beach disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni, Kwenye Gari  nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi? Na je kufanya mapenzi sehemu hizi kuna raha zaidi ya kufanya kwenye chumba?

Kufanya Mapenzi Mara kwa Mara Kunaboresha Afya yako

Image
Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo. Utafiti umeonyesha kwamba kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunatibu mafua, kuepusha magonjwa ya moyo, kunazuia kansa na hata kuongeza urefu wa maisha. Watafiti katika chuo kikuu cha Nottingham University nchini Uingereza wamegundua kwamba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50 wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wana uwezekano mdogo sana wa kupata kansa ya kibofu. Watafiti hao walikanusha madai kwamba kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 20 kwa mwezi kunaongeza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo. Madaktari wamekubaliana kwamba mapenzi ni kama shughuli zingine za kawaida na ni mazoezi bora kwa afya.  "Kwa kulinganisha na mazoezi, kufanya mapenzi ni sawa na kutembea zaidi ya kilomita moja au kupanda na kushuka ngazi za majengo mawili marefu" alisema Dr Graham Jackson wa hospitali ya St Thomas. Utafiti uliofanywa n...

Wanawake Wengi wa Siku Hizi Hawajui Kupika..Urembo Umechukua Nafasi

Image
Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri. Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya 60 kurudi nyuma) wengi wao walikuwa wapishi wazuri kwenye familia zao kiasi kwamba wakipika chakula mfano pilau, wali, samaki,chapati,maandazi,n.k, wanafamilia chakula mnakifurahia tofauti na siku hizi. Hivi sasa unaweza kuta mwanamke mrembo ila akipika chakula,unaweza kula tu kwa kumuonea aibu na hali hii ni hata kwa ma-house girl wa siku hizi ambae ukimleta kwako inabidi umpe darasa la kupika chakula chenye ladha. Kwenye migahawa na wa mama ntilie na kwenye nako hali ni hio hio.Mtu unaagiza chakula kula unashindwa na bado ukibadili mgahawa hakuna guarantee kwamba unakohamia kuna unafuu (afadhali). Inawezeka mfumo wa maisha ya kisasa ndio unachangia hali hii kwa kiasi kikubwa na hasa kwa waloizaliwa kuanzia ya miaka ya 80 mwishoni na kuendelea. Wanachojua wanawake wa siku hizi ni ...

Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..  MADHARA KWA MWANAUME. 1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.  2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.  3.Kuziba kwa njia ya mkojo.  4.Utasa au ugumba.  5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.  6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya...

Sabby Angel Akanusha Sifa za Wolper kwa Alikiba Kuhusu Mapenzi

Image
Mara kwa mara Wolper amekuwa akikariri  na kusema kuwa moja ya wanaume ambao hatokaa  hawasau katika maisha yake ni msanii alikiba kwa sababu alikuwa na mapenzi ya kweli sana na aamekuwa akitafuta penzi kama hilo lakini amekosa. Pamoja na kwamba aliwahi kupingana na kauli hiyo baada ya kusema kuwa Jux anaweza kuwa bora zaidi kwa sababu alikuwa ni mwanaume mwenye sifa ya utafutaji sana. Hata hivyo, mwanadada Sabby angel nae ameibuka na kusema kuwa alichokisema Wolper sio kweli kuhusu alikiba kwa sababu hakuna mwanaume ambae hakuwahi kufurahia mapenzi yake kama alikiba. napinga maneno ya wolper katika mahusiano alikiba hakuweza kunifurahisha kama mimi mwanamke, mnafaa mjue kuwa kumridhisha mwanamke sio kitandani kunamengi anafaa kuyafanya kabla ya hayo ya kitandani,lakini pia ana mahitaji mengi sana ambayo nilishindwa kuyatimiza na ndio maana niliachana nae ikiwepo kuwekwa mpenzi wa siri, lakini pia alikiba hajui kupeto peti ninachomsifia ni kwamba ana HESHMA tu , hayo mengi...

Amber Lutty Aelezea Video Yake ya Ngono Inayosambaa.

Image
Mwanadada Amber Luty amefunguka na kukiri kosa lake kuhusu kuvuja kwa video ile na kusema ni kweli yeye ndio alikuwa pale lakini video hiyo inayomuonyesha kitandani akiwa na wanaume wawili wa kundi moja la wabantu ilikuwa ya siku nyingi sana hata yeye anashangaa kwnini imevuja hivi karibuni. Kwanza mimi mwenyewe nimeshangaa kwa sababu video ile ilikuwa ya zamani sana , kuna siku nilikuwa na shida na ela ndio nikafanya kitu kama kile lakini nashangaa jana iliv yovuja. Hata hivyo katika video izo tatu tofauti zilizovuja ipo video inayomuonyesha mwanamke huyo akichukuliwa kwa dirishani na alipulizwa kuhusu aliyekuwa akiwachukua, Amber Lutty alisema sijajua ni nani ambae ametuchukua ile video na bado mtu huyo tunamfatilia, hata wasanii hao wenyewe wamekuwa wakishangaa na inaonekana huyo mtu anatujua na alikuwa akitufatilia. The post Amber Lutty Aelezea Video Yake ya Ngono Inayosambaa. appeared first on Ghafla!Tanzania .

Amber Lutty Aelezea Video Yake ya Ngono Inayosambaa.

Image
Mwanadada Amber Luty amefunguka na kukiri kosa lake kuhusu kuvuja kwa video ile na kusema ni kweli yeye ndio alikuwa pale lakini video hiyo inayomuonyesha kitandani akiwa na wanaume wawili wa kundi moja la wabantu ilikuwa ya siku nyingi sana hata yeye anashangaa kwnini imevuja hivi karibuni. Kwanza mimi mwenyewe nimeshangaa kwa sababu video ile ilikuwa ya zamani sana , kuna siku nilikuwa na shida na ela ndio nikafanya kitu kama kile lakini nashangaa jana iliv yovuja. Hata hivyo katika video izo tatu tofauti zilizovuja ipo video inayomuonyesha mwanamke huyo akichukuliwa kwa dirishani na alipulizwa kuhusu aliyekuwa akiwachukua, Amber Lutty alisema sijajua ni nani ambae ametuchukua ile video na bado mtu huyo tunamfatilia, hata wasanii hao wenyewe wamekuwa wakishangaa na inaonekana huyo mtu anatujua na alikuwa akitufatilia. The post Amber Lutty Aelezea Video Yake ya Ngono Inayosambaa. appeared first on Ghafla!Tanzania .