Posts

MESEJI NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO

Image
First time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I was scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love you. But now that I love you, I'm scared to lose you! **** Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu. **** An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to. **** Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you! **** Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane **** They say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste. So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you still got me. **** Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi ...

Hizi hapa SMS kali mpya Za Mapenzi

Image
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,  ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia... Nakupenda daima mpenzi! **** Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya. ****** Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. ***** Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki. ***** Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache. ****** Mimi si mtume hakuna mwadamu aliyestahili usiniache nitajirekebisha na nitaongeza bidii.Naahidi kuwa mpenzi mpya na bora kwako na si bora mpenzi. ******* Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu us...

MSG KALI ASUBUHI YA LEO ZA KUMFANYA MPENZI WAKE ACHAPE KAZI

Image
Unajuwa mara nyingi hac huhitaj chanya ili kuwa xhia umeme na wa2 waka faidika na umeme huwo ila mwana ume au mwana mke huhitaj mwenzake wa jinxia tafaut ili kutimiza lengo lake alilo jiekee mwenyewe nina maana kwamba ndoa alafu kupata mtoto hilo ndo lengo kubwa la mwanadam na itakuwa cyo vibaya kama utayajua malengo yangu yapo vp kwako nataka utambue mm cja 2mwa na m2 yyte yle ilikuja kuharibu malengo ya maixha yko bali ni mxukumo wa moyo wng kuwa ww ndo mwana mke halali wa maixha yangu kiukwel nataka uwe mpenz wng ili uje kuwa mke wng yan mama wa watoto wng. ####### Ukipenda umekubali kuwa mwendawazimu usiyeeleweka, maana utapenda mwenzako awe na furaha hata kama wewe huna, utapenda ale vizuri, aishi pazuri hata kama kwako ni majanga. Mwendawazimu mzuri ni yule mwenye kupenda zaidi kwa sababu hujisahau hata yeye kwa ajili ya furaha na thamani ya mwingine. Mwenye kusema anapenda na kukosa uwendawazimu huu anakuwa na unafki fulani hivi.... ##### Umuhimu wa ki...

SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.

SMS 20+ Za Kufanya Maongezi Yako Na Mwanamke Yavutie

Image
Nimekuwa nikipata request za google kutoka kwa readers wa UWANJA WA MAPENZI  wakitaka kusoma SMS za kutongoza, SMS za kimapenzi na SMS za mahusiano kiujumla. So leo nimeamua kuandika orodha ya SMS ambazo ukizitumia zitampendeza mwanamke na kutaka kuongea nawe milele. Ok SMS tulizoziorodhesha hapa si SMS za kutongoza bali zinajaribu kuleta gumzo kwa mwanamke. Psss!  Kwa wale wasomaji wa blog hii kwa muda najua wanajua jinsi ya kutumia SMS yeyote ile kuvutia mwanamke, hivyo kama wewe ni mgeni kwa UWANJA WA MAPENZI  nakushauri usiendelee kusoma zaidi chapisho hili. Maswali 20 ya SMS kufanya maongezi yako na mwanamke yaendee kunoga kwa masaa 1. Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena? Swali kama hili litamfanya kufikiria sana. Swali hili laweza kufanya ujue mambo yake ya chini ya maji zaidi. Mwanzo labda unaweza kugundua ya kuwa kuna mambo ambayo mnagawa pamoja. 2. Tabia gani ya ufidhuli ambayo uko nayo? Kila mtu ana tabia yake ya ufidhuli...

FAHAMU SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha amb...

SMS ya kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote

Image
Sio Maua yote Huonesha Upendo, "Ni Waridi pekee" sio Miti yote Hustawi Jangwani "ni Mtende pekee" sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?