Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye, ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia... Nakupenda daima mpenzi! **** Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya. ****** Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. ***** Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki. ***** Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache. ****** Mimi si mtume hakuna mwadamu aliyestahili usiniache nitajirekebisha na nitaongeza bidii.Naahidi kuwa mpenzi mpya na bora kwako na si bora mpenzi. ******* Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu us...
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.
First time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I was scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love you. But now that I love you, I'm scared to lose you! **** Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu. **** An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to. **** Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you! **** Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane **** They say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste. So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you still got me. **** Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi ...
Comments
Post a Comment