Posts

Showing posts from September, 2018

MESEJI NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO

Image
First time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I was scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love you. But now that I love you, I'm scared to lose you! **** Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu. **** An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to. **** Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you! **** Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane **** They say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste. So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you still got me. **** Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi ...

Hizi hapa SMS kali mpya Za Mapenzi

Image
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,  ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia... Nakupenda daima mpenzi! **** Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya. ****** Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. ***** Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki. ***** Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache. ****** Mimi si mtume hakuna mwadamu aliyestahili usiniache nitajirekebisha na nitaongeza bidii.Naahidi kuwa mpenzi mpya na bora kwako na si bora mpenzi. ******* Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu us...

MSG KALI ASUBUHI YA LEO ZA KUMFANYA MPENZI WAKE ACHAPE KAZI

Image
Unajuwa mara nyingi hac huhitaj chanya ili kuwa xhia umeme na wa2 waka faidika na umeme huwo ila mwana ume au mwana mke huhitaj mwenzake wa jinxia tafaut ili kutimiza lengo lake alilo jiekee mwenyewe nina maana kwamba ndoa alafu kupata mtoto hilo ndo lengo kubwa la mwanadam na itakuwa cyo vibaya kama utayajua malengo yangu yapo vp kwako nataka utambue mm cja 2mwa na m2 yyte yle ilikuja kuharibu malengo ya maixha yko bali ni mxukumo wa moyo wng kuwa ww ndo mwana mke halali wa maixha yangu kiukwel nataka uwe mpenz wng ili uje kuwa mke wng yan mama wa watoto wng. ####### Ukipenda umekubali kuwa mwendawazimu usiyeeleweka, maana utapenda mwenzako awe na furaha hata kama wewe huna, utapenda ale vizuri, aishi pazuri hata kama kwako ni majanga. Mwendawazimu mzuri ni yule mwenye kupenda zaidi kwa sababu hujisahau hata yeye kwa ajili ya furaha na thamani ya mwingine. Mwenye kusema anapenda na kukosa uwendawazimu huu anakuwa na unafki fulani hivi.... ##### Umuhimu wa ki...

SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.

SMS 20+ Za Kufanya Maongezi Yako Na Mwanamke Yavutie

Image
Nimekuwa nikipata request za google kutoka kwa readers wa UWANJA WA MAPENZI  wakitaka kusoma SMS za kutongoza, SMS za kimapenzi na SMS za mahusiano kiujumla. So leo nimeamua kuandika orodha ya SMS ambazo ukizitumia zitampendeza mwanamke na kutaka kuongea nawe milele. Ok SMS tulizoziorodhesha hapa si SMS za kutongoza bali zinajaribu kuleta gumzo kwa mwanamke. Psss!  Kwa wale wasomaji wa blog hii kwa muda najua wanajua jinsi ya kutumia SMS yeyote ile kuvutia mwanamke, hivyo kama wewe ni mgeni kwa UWANJA WA MAPENZI  nakushauri usiendelee kusoma zaidi chapisho hili. Maswali 20 ya SMS kufanya maongezi yako na mwanamke yaendee kunoga kwa masaa 1. Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena? Swali kama hili litamfanya kufikiria sana. Swali hili laweza kufanya ujue mambo yake ya chini ya maji zaidi. Mwanzo labda unaweza kugundua ya kuwa kuna mambo ambayo mnagawa pamoja. 2. Tabia gani ya ufidhuli ambayo uko nayo? Kila mtu ana tabia yake ya ufidhuli...

FAHAMU SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha amb...

SMS ya kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote

Image
Sio Maua yote Huonesha Upendo, "Ni Waridi pekee" sio Miti yote Hustawi Jangwani "ni Mtende pekee" sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?

HIZI HAPA SMS ZA MAPENZI TAMUUUUUUUUUUUUU

Image
1. Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimi  ni wako sikuachi asilani.  2. Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.   3. Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!   4. Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka y...

Njia Rahisi ya Kuongeza Mahaba kwa Mpenzi Wako

Image
Njia Rahisi ya Kuongeza Mahaba kwa Mpenzi Wako Mwanaume anaweza kuongeza ladha ya mahaba kwa mke wake pale anapokuwa makini na suala la jiografia na ustadi wakati wa tendo la ndoa. Wanawake ni viumbe ambao mara nyingi huwa distracted na mazingira waliyopo kuliko wanaume hasa linapokuja suala la faragha na usalama. Wanawake huathirika zaidi na mazingira hasa sauti au kelele na harufu kuliko wanaume (mume) wakiwa sita kwa sita, mfano hofu ya kwamba watoto watasikia hasa kama watoto wanapiga kelele,hofu ya kusikiwa na majirani au wapiti njia, hofu ya mlango kuwa haujafungwa (komeo) nk. Mume mmoja alisafiri kwenda nchi za mbali na aliporudi nchini kwake na kupokelewa na mkewe walienda moja kwa moja nyumbani kwao na kwa kuwa hakukuwa na watoto au mtu mwingine bali wao wenyewe tu, wakaamua kwa raha zao wapeane zawadi ya miili yao kwanza kabla ya lolote kwa kuwa walikuwa na hamu kubwa kila mmoja kwa mwenzake, hata hivyo mlango walisahau kuufunga na baada ya...

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

Image
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30. NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata cho...

Faida Ama Uzuri wa Kuoa Single Mothers na Wadada Over 35 years

Image
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35. *Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao. *Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui. *Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla wana mazuri mengi. Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.